Monday, October 13, 2008


Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake, atakumbukwa daima na Watanzania kutokana na busara zake ni miaka tisa sasa tangu kufariki kwake.